MAANA YA UISLAMU
Nini Maana Uislamu ???
Uislamu
(kwa Kiarabu: الإسلام al-islam) Maana yake ni kujisalimisha kwa Allaah (سبحانه وتعالى) kwa kumpwekesha na kufuata maamrisho yake kwa utii na kuepukana na shirki
Uislamu unajengwa juu
ya nguzo tano za kiislamu ambapo kila muislamu anatakiwa kufata hizo nguzo tano
za kiislamu na nguzo za sita Imani ili dini yake ya kiislamu iweze kukamilika.
Nguzo tano za uislamu
ni
- ü Shahada ya Imani
- ü Swala
- ü Zakkah
- ü kufunga mwezi wa ramadhani
- ü Hijja
1.Kumuamini Allah
2.Kuamini malaika
3.Kuamini mitume wa Allah
4.Kuamini vitabu vya Allah
5.Kuamini siku ya mwisho
6.Kuamini Qadari (ya kheri au ya shari) kuwa inatoka kwa Allah).
Muislamu anatakiwa nguzo za imani na uislamu ili aweze kukamilisha dini yake. bila kufata nguzo hizo utakuwahujakamilisha dini yako ya uislamu.
0 comments:
Post a Comment