SHERIA
10 ZA VITA KATIKA UISLAMU
Kabla ya kuingia katika vita
Mtume Muhamadi (S.A.W) aliwaelekeza wanajeshi kwa sheria zifuatazo katika vita:
2.Wasifanye usaliti(TREACHERY)
au uharibifu(MUTILATION) (“ AL-MUWATTA” )
3.Wasing’oe au
kuchoma mitende au kukata miti ya matunda (“Al-MUWATTA”)
5. Ikiwa mmoja
wenu atapigana na kaka ake asimpige maeneo ya usoni kwasababu Allah amemuumba
kwa mfano wa Adam(A.S) (“SAHIHI BUKHARI,MUSLIM”)
6. Wasiue watawa
wakiwa katika sehemu zao za kuabudia na wasiwaue wale waliokaa katika sehemu za
kufanyia ibada(“MUSNAD AHMAD IBN HANBAL”)
7. Wasiharibu
vijiji na miji, wasiharibu mazao yaliyolimwa na bustani na wasichinje ng’ombe(“SAHIHI BUKHAR”)
8. Wasipendelee
mikutano na maadui,wamuombe Allah(S.W) wapate usalama lakini mkilazimishwa
kufanya nao mikutano,mjifunze uvumilivu(“SAHIHI MUSLIM”)
10. Jizoeshe
kufanya mazuri kama watu wanafanya mazuri na usifanye maovu hata kama watafanya
maovu(“AL TIRMIDHI”)
Hizi ndo shera kumi za vita
ambazo ziliweka na mtume Muhamad (S.A.W) ambazo zinahimiza msamaha na haki.
Kwa hiyo ni vipi Dini
inayohamasisha haki hata katika vita jihusishe na ugaidi?
Ewe Allah tuongoze wote katika
njia iliyo sahihi katika kuelewa uislamu
ALLAH ndie anayejua zaidi.
ALLAH ndie anayejua zaidi.
0 comments:
Post a Comment